Home INTERTINMENT NEWS | Yanga SC Crowned Muungano Cup Champions ( Yanga SC Yatwaa...

NEWS | Yanga SC Crowned Muungano Cup Champions ( Yanga SC Yatwaa Kombe la Muungano )

Yanga SC Yatwaa Kombe la Muungano!

Tunayo furaha kutangaza kuwa Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) imetwaa rasmi Kombe la Muungano! Timu imeonesha kiwango cha juu, ushupavu na ushirikiano mkubwa katika mashindano haya, na kufanikisha ushindi huu wa kihistoria.

Hongera kwa wachezaji, benchi la ufundi, na familia yote ya Yanga SC kwa mafanikio haya makubwa. Fahari ya Tanzania inaendelea kung’ara!

Yanga SC Crowned Muungano Cup Champions!

We are proud to announce that Young Africans Sports Club (Yanga SC) has officially won the Muungano Cup! The team showcased outstanding performance, determination, and teamwork throughout the tournament, earning them a well-deserved victory.

Congratulations to the players, technical team, and the entire Yanga SC family for this remarkable achievement. The pride of Tanzania continues to shine!